Ndio hao wenyewe lkn nataka jua ni watu wa aina gani wanaohimiliki kampuni hiyo?Hawa si ndio watakaochimba uranium kule Namtumbo!
Wanalipa vyema ila ndo ivyo tena madhara ya uranium juu yako
RWEZA 79
Hao jamaa walikuwa wazuri sana wakati walipoanza kampuni ilikuwa imeshikiriwa na wacanada na waustralia, wanachimba uranium namtumbo around mkuju river wapo kwenye serou game reserve (Namtumbo songea), sasa hivi wanafanya utafiti wa uranium lakini kiaina wanachukua madini around the area, mwaka jana mwezi dec waliingia ubia na Russia one,(Nimakaburu wakatili sana) mishahara ikapunguzwa risk allowance( coz unakaa wiki6 site na wiki 3 off, mnapoa msituni mmezungukwa na matembo na masimba etc) so ilikuwepo hyo risk allowance ya kutosha ikaondolewa baada ya hao warusi kuja watu wengisana wameondoka mpaka hizo nafasi za environmental officer et al.. kutangazwa huyo jamaa environmental officer ni ndugu yangu alicha kazi hiyo baada ya kuona hao warusi wanajipendelea mtu mwenye diploma tu ya geology wa kwao wanamlipa around dola 8,000 achilia mbali malupulupu mengine, wakati kazi kubwa alikuwa anzifanya huyo environmental officer then wakamtoa kwenye salary ya 1,200,000 mpaka laki 700,000 jamaa akasepa, wengi tu wamesepa hata mtaalamu wa maji wa barrick ambaye alijiunga na hao mantra naye alicha kazi watu kama 6 hivi matechinician wameacha kazi... full risk huko, huyo jamaa yangu aliwahi kukuswa koswa na simba, alikuwa anadrive, kwenda kuchukua sample ya udongo na maji eneo fulani akapaki gari fresh, kurudi anakuta simba amepoa kwenye mlango wa gari loh ilikuwa noma... bahati simba alikuwa ameshiba akasepa.. jamaa hakuamini... so kama huna dili kabisa mkuu nenda lakini kama unadili lingine.... think twice, hao makaburu siyo watu washatesa watu wengi sana tangu wapewe huo mgodi... kila lakheri
Sawa kiongozi, sasa hiyo 700000 au 1200000 ni gross au basic?
Hahaha mkulu, msalimie Hashim MilangaRWEZA 79