Manu vs celtic

Manu vs celtic

jossey1979

Senior Member
Joined
Apr 28, 2008
Posts
172
Reaction score
42
Hey Manu you Fans
Leo kuna game ya manu vs Celtic 7pm ET.
Nilikua naomba kujua huu ni muda gani kwa saa za Tanzania

Natanguliza shukrani
 
Hey Manu you Fans
Leo kuna game ya manu vs Celtic 7pm ET.
Nilikua naomba kujua huu ni muda gani kwa saa za Tanzania

Natanguliza shukrani

Tuna tofauti ya masaaa Saba (7) kati yetu na Canada.... so kama mechi itachezwa saa 7 pm kwa saa za kwao inamaana unatakiwa hapo utoe masaa 7 nyuma ili upate mda kamili wa hapa.. na kwa hesabu ya harakaharaka ni hivi

WAO ..........................SISI
7am (morning) (+7) = 2pm(noon(daytime))
19pm(evening) (+7) = 2am (midnight)
 
Kula tano mkuu. nashukuru sana
 
and the thread ends just like that huh??? au tuiendeleze wakati wa mechi??
 
Hahhaa, yani hadi pre-season watu wanaanzisha thread kweli ushabiki kazi.
 
mechi itakuwa saa 9 usiku wa manane kwa saa za bongo,mechi ianapigwa toronto canada hii
 
Man utd 3,celtic 1,wafungaji kwa man utd berbatov dk 34,welbeck dk 79 na cleverey ktk dk 86,bao la celtic lilifungwa kwa njia ya penati na samaras ktk dk 61
 
Tunaomba pre-season game na Arsenal
 
u have come to the worng place buddy...... hapa ni full red devils........
 
Back
Top Bottom