Manual juice maker

M2021

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
73
Reaction score
71
Manual juicer ya kisasa
(Bei Tsh 30,000)
&Haitumii umeme, rahisi kutumia.
&Inatoa juice Safi bila chemical
& Portable,rahisi kusafiri nayo
&Imeundwa kwa material imara(Aluminum)
&Rahisi kuisafisha.

WhatsApp link. Golden Online Store

Simu no 0658 106 630
Ndani ya Dar ni free delivery.
Unalipia baada ya kuletewa mahali ulipo.



Your browser is not able to display this video.
 
Imeundwa kwa material imara(Aluminum)
Hoya aluminium Ni mbaya kiafya Ni sawa na material ya chuma mazuri Ni material ya Shana mkuu. Yaani shaba Inavyo dissolve pia unaivyonza Ni muhimu mwilini na ndio Mana unaona baadhi Kama wamasai wanavaa bangili za Shana mikononi ama miguuni hata watu wengine pia
 
Aluminum inatumika katika masufuria tunayopikia miaka you're mbona haijatuathiri? Upishi was aina mbalimbali tunatumia
 
Aluminum inatumika katika masufuria tunayopikia miaka you're mbona haijatuathiri? Upishi was aina mbalimbali tunatumia
Inatumika chuma mno ,naomba usome aluminum side effects baadaye urudi hapa. Jaribu kutafuta vyombo vya jikoni vyenye madini ya shaba uniambie
 
na sufuria za nyumbani je ?
Huwa Ni za chuma Kama unatumia za aluminum Basi Zina madhara kumbuka madhara sio papo kwa Papp mkuu. Inachukua milongo kadhaa sometime unarithishana kupitia kwa dna zinakuja kutokea kwa uzao wako
 
ni za pure aluminium, ndiyo maana kwa wauza 'screpa' bei yake sio sawa na chuma


yeah right, nna miaka 30+ nimezaliwa zimezikuta izo sufuria, punguza ujuaji


HorseShit
Unaongea kwa hisia Ila hizi Mambo Ni sawa mbili plus tatu Ni ngapi. Sie kuwa mie ndiye niliyepanga iwe sita.
Nachokuambia Ni tafiti sio kuwa nimetoa kwa hisia zangu.
Mbona Tena mavi ya farasi ama unayapenda.
Mfano kanuni ya gravity sio kuwa Ni ya kwangu Ila ipo inafanya kazi Ni Kama magnet inavyovuta vitu huwezi bishana Wala kutukana ama kukasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…