ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ikiwa Ulaya uchawi upo basi naona moja kwa moja huyu golikipa wa Bayern achunguzwe.
Japo anaweza kutetewa na wengi kuwa ni bora sawa hatukatai yeye ni bora lakini si kwa kiwango hiki cha kukosa magoli ya wazi tulichokishuhudia katika game zao hizi tatu za mwishoni.
Barcelona alianza vizuri game ile lakini baadae kaja pigwa yeye. Lyon alikosa magoli ya wazi kabisa karibu 7 lakini akaja fungwa yeye
Hivyo hivyo PSG, game ilikua yake lakini tumeshuhudia kipa wa Bayern hafungiki.
Huyu kipa huwa anatumia nguvu za giza?