Ulivyotaja Uchawi/Ulozi/Juju/Hirizi..
Nimekumbuka Kipindi cha
Khalid gangana Nipe Tano,
Akimuhoji Mzungu-MTanzania Richard S Mabala Mwandishi wa vitabu vikiwemo Mabala The Farmer & Hawa the bus drive (Adamu leo niko na hawa the bus drive na sio Malaya black chyna Haha What'saap Nikki Mbishi).
Mabala aliulizwa vipi na huko uropa kuna Uchawii?
Mabala akajibu- Ndio Upo.
Baadaye nikapata kupitia Kitabu cha The Malleus Maleficurum ( The Witch Hammer )
Hiki Kinaelezea Tuhuma za ulozi/Uchawi Kwa akina mama/Wanawake Enzi Middle Ages (1486).
Wanaweka wengine walikuwa Wanatuhumiwa kwa kunyofoa sehemu za siri za Wanaume,Wanatoa Uume..
Sasa huenda Labda Manuel anatupia hirizi/hahaha...anaifunga kiunoni.
Manuel yupo fiti sana golini,
Mzeewangu Sir Akex Alishindwa kuteletea hiki kifaa ilikuwa imebaki kiduchu..
Tulimchambanga Goli 4 akiwa na Schalke O4..! Mwaka 2011 UEFA champions.
Kwa sasa ndio golikipa bora kwa Upande wangu..
1)Manuel anaweza kuanzisha Mashambulizi vyema iwe kwa mguu au Mikono
2)Anajiamini sana(Kwa kimombo confidence)Penati anapiga bila wasi-wasi.
3)muongeaji mzuri/Sifa yakiuongozi & Anaongea mabeki wake vyema kukumbusha majukumu.
4.Anauwezo mzuri wa kuchomoa I
Michomo iwe kwa miguu au mikono.
5.Ananguvu sana za Mwili.
Kunakipindi pep inasemekana lakini haina ushahidi Mkubwa Eti alitaka kumtoa golini aingie kati Ndimbani.
Uongozi wa bayern ukasema bwana Pep Wacha Masihara bwanaa we!