Manufaa ya mkojo na kinyesi cha sungura

Wakuu habarini!?, kumekuwa na habari za mkojo wa Sungura kuwa ni dili sana mjini. Naomba kujuzwa huu mkojo wa Sungura unauzwa na kununuliwa wapi hapa Tz. Pia kwa wanaojua bei yake kwa lita 5 anijuze pia wakuu. Asanteni
Mdau Hilo soko km lipo Basi tujuze nasisi ...naiona fursa ya upigaji..wanapima vinasaba (DNA) za mkojo kugundua km ni wa sungura? ...vinginevyo wajikuta wanapigwa mix ya hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siko anza kulitafuta kwa kutoa elimu kwa wakulima haswa WA mboga mboga.mkojo WA sungura Ni mbolea nzuri Sana,Bongo Kuna wakulima wengi piga promo then uza.TUache kulala Na kulalamika.
 
Huo haufai kuchakachua, utajulikana tu mkuu. Ila nikipata soko nitakujuza mkuu
Kama uko Dar, pitia kwenye Masoko makubwa ya mbogamboga, ndo wanawajua wanunuzi ambao ni wakulima wa mboga mboga zisizotumia kemikali
 
siko anza kulitafuta kwa kutoa elimu kwa wakulima haswa WA mboga mboga.mkojo WA sungura Ni mbolea nzuri Sana,Bongo Kuna wakulima wengi piga promo then uza.TUache kulala Na kulalamika.

Shukrani sana mkuu nitalifanyia kazi hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…