Manufaa ya mkojo na kinyesi cha sungura

Mkojo wa sungura????
Huyu atakuwa ameagizwa na waganga maana huko hadi mkojo wa sisimizi deal
 
fanya utafiti kwanza mkuu huenda ikawa kweli ila uwe makini na matapeli maana wamechachamaa kweli awamu hii.
 
Hii ni kama ile ya kuku aina ya kuchi, na pia sarafu ya rupia ya mjerumani. Tumedanganyana sana kuwa vitu hivi vinahitajika sana, kumbe uongo mtupu
 
Awatafute watu wa Namaingo wao ndio usema kuna soko, huenda wakamsaidia. Poleni sana kwa Tengeru hakuna wateja wa hiyo product
 
Mkimaliza mkojo wa Rabbit mnijuze maana kuna nyoka pia aina ya green na black mamba mwenye kuwahitaji aniambie nimuelekeze pori walilopo soko linahitajika!
 
Kijijini kwetu kila mtu alihamasika kufuga sungura!...sungura wanalipa! sasa ilipofika wakati wa kuuza hawakuliona soko ...Bongo maagizo haytaisha!
 
Ni kweli soko lipo tena la uwakika
Nenda pale chuo cha kilimo SUA Morogoro wananunua 5Lts = 100,000/=
Note: Lazima uwe pure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…