Manula ameivunja ndoa ya Simba na Azam Sheikh akiwa Yanga

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Simba na Azam ni marafiki wakubwa, wanapeana hadi wachezaji kilaini kabisa. Lakini baada ya goli 5-1 dhidi ya Yanga (sheikh) Simba ikamsukumia zigo lote la lawama Manula. Manula alitaka kutimkia Azam lakini Simba wakamwekea ngumu kwakuwa Inafahamika kuwa Simba iliumia sana kunyang'anywa na Azam CAF Championship baada ya Azam kusababisha Simba kwenda kushiriki kombe la losers; CAF Confederation.

Mgogoro huu ni mkubwa lakini ulikuwa unafukuta chini kwa chini na ndani kwa ndani bila kutoa moshi. Sakata la Manula kuchukiwa na Simba lakini kugomewa kuhamia Azam kumekwenda kuutoa moshi wa kijivu angani kila mtu auone moto. Kama itaendelea hivihivi hiyo ndiyo itakayokuwa ahueni ya Azam kwenye soka. Mgogoro wa Simba na Azam utasababisha Azam icheze mchezo wake inapokuwa uwanjani.

Kimsingi chanzo halisi cha ugomvi kimesababishwa na Yanga kwa kushika nafasi yA KWANZA KWENYE LIGi na kuwaacha ndugu wagombanie nafasi ya pili kwenda caf championship na kumfunga Simba 5-1 kulikomuingiza Manula matatani kutoka kwa viongozi dhaifu wa timu.

Azam endeleni na huu mgogoro wenu na simba na Yanga ili mpige hatua ndefu kisoka..
 
Anayeumia hapo ni Manula aka duka,azam ni mtoto wa Simba,mtoto ni mtoto tu.
Manula ndio basi tena
 
Simba ni mama
Azam ni SHANGAZI
Coastal ni dada
 
Uchambuzi wa kipumbavu ,.
 
Back
Top Bottom