mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
"Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia Neymar aende kucheza soka la kulipwa Ulaya ili awe na uzoefu ea kutosha kuelekea kombe la dunia 2014 ndio maana Neymar alienda kuchezea Barcelona mwwaka 2013. hii ndo ilivyo kwa Aish kwa sasa, tunakabiliwa na michuano ya kufuzu kwenda Afkon mwaka 2025 na michuano ? Aish anapaswa kuwa golini" Edo kamwambe
mnakubaliana na Edo kamwambe??
mnakubaliana na Edo kamwambe??