mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Credit: Edo wa Mwanaspoti."Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia Neymar aende kucheza soka la kulipwa Ulaya ili awe na uzoefu ea kutosha kuelekea kombe la dunia 2014 ndio maana Neymar alienda kuchezea Barcelona mwwaka 2013. hii ndo ilivyo kwa Aish kwa sasa, tunakabiliwa na michuano ya kufuzu kwenda Afkon mwaka 2025 na michuano ? Aish anapaswa kuwa golini" Edo kamwambe
mnakubaliana na Edo kamwambe??View attachment 3075437View attachment 3075439
Apambanie namba. Hakuna janja janja hapa"Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia Neymar aende kucheza soka la kulipwa Ulaya ili awe na uzoefu ea kutosha kuelekea kombe la dunia 2014 ndio maana Neymar alienda kuchezea Barcelona mwwaka 2013. hii ndo ilivyo kwa Aish kwa sasa, tunakabiliwa na michuano ya kufuzu kwenda Afkon mwaka 2025 na michuano ? Aish anapaswa kuwa golini" Edo kamwambe
mnakubaliana na Edo kamwambe??View attachment 3075437View attachment 3075439
Anasahau Ally Salum alidaka mechi ngumu na Zambia tena ugenini na tukashinda. Manula sasa hivi ni golikipa namba 4 wa Simba na kama unamuhesabu Ayoub, basi Manula anakuwa #5. Hata kwenye rotation hatoboi.Hana akili huyo Eddo. Yeye kamuona Manula peke yake kutoka simba kwamba ndiye anaetegewa na taifa ili taifa liingilie?
Mbona hamsemei mshery wa Yanga kupigwa benchi na Diara? Au kwamba Mshery siyo Mtanzania?
Au kwamba hakuna kipa mwingine Tz tofauti na Manula ambae anaweza kuandaliwa kwa ajili ya timu ya taifa?
Au Eddo keshapokea hela za GSM ili apige makelele Aishi apangwe ili simba iendelee kufungwa magoli ya kizembe kama lile la Tz prison?
Akome kutupangia nani acheze na nani asicheze. Kama vipi amsajili kwenye timu yake ili awe anacheza kila mechi .
Katika pumba zote alizowahi kuongea safari hii kaongea pumba hasa.Anasahau Ally Salum alidaka mechi ngumu na Zambia tena ugenini na tukashinda. Manula sasa hivi ni golikipa namba 4 wa Simba na kama unamuhesabu Ayoub, basi Manula anakuwa #5. Hata kwenye rotation hatoboi.