Manula bado ni kipa imara, Simba ndio mbovu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana jf
Baada ya a Simba kuruhusu hamsa ya kichapo Cha Karne 5__1 binafsi niliamini kipa langu la viwango manula ni mbovu Kwa kuruhusu kichapo hicho heavyweight

Maajabu yake nimeona maajabu aliyoyafanya Jana jamaa bado yupo vizuri makolo waboreshe eneo la ulinzi
NB inawezekana ubora wa manula ulichangiwa ukuta wa yericko wa Yanga
 
Kalpana akiridhia, nipo tayari kumnunulia hii jezi. Naomba wadau mlio karibu naye mumbembeleze tafadhali, ili aikubali hii ofa yangu. Natambua fika amejitosheleza kimaisha. Ila ndiyo hivyo tena, zawadi ni zawadi.

Akumbuke tu hela ya kumnunulia hii jezi nimeipata baada ya kuuza nyanya chungu zangu debe kadhaa kwa wachuuzi. Nipo siriaz.
 
Mshaipunguza makali...ingekua Kibu hayupo ingeuzika sana..ila mkandaji kashawakanda na kuwatolea CV...ingekua 5 kwa Sufuri ingependeza sana...mtani
 
Manula ni mbovu sana kwenye krosi
 
Back line ya simba mbovu Manula yupo vizuri sema tarehe 5 walitafuta mtu na sababu ya kufungwa goli nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…