Manula kipenzi wa Yanga ameanza golini!

Manula kipenzi wa Yanga ameanza golini!

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha Manula.
Huyo ni kipenzi cha Yanga.
Pia, mabeki wamelishwa nini
 
Yaaaaaaaaaaaaaaani

Mbakaaaaaaaaaaaaaa

Msemeeeeeeeeeeeeeee
 
Nawaambieni viongozi wa Simba hawasomi Alama za nyakati, wachezaji Kama kapombe, shabalala, manula hao ni yanga damu pia wamechoka
Baleke hakuna kitu
 
Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha manula.
Huyo ni kipenzi Cha yanga.
Pia, mabeki wamelishwa nini
Kwa hiyo unataka kusema kama ingetokea umawekwa wewe golini kwenye mechi ya leo usingefungwa hata goli moja!!

Au kama angeanza yule dogo Salim, basi na yeye angetoka na clean sheet kwenye mechi ya leo!!
 
Back
Top Bottom