I iyokichiku Member Joined Oct 30, 2023 Posts 36 Reaction score 70 Nov 5, 2023 #1 Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha Manula. Huyo ni kipenzi cha Yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini
Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha Manula. Huyo ni kipenzi cha Yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Nov 5, 2023 #2 iyokichiku said: Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha manula. Huyo ni kipenzi Cha yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini Click to expand... Hii si ungeweka tu kwenye uzi wa updates Mkuu? Au kuna meseji maalum unaituma.
iyokichiku said: Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha manula. Huyo ni kipenzi Cha yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini Click to expand... Hii si ungeweka tu kwenye uzi wa updates Mkuu? Au kuna meseji maalum unaituma.
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,194 Reaction score 10,711 Nov 5, 2023 #3 Yaaaaaaaaaaaaaaani Mbakaaaaaaaaaaaaaa Msemeeeeeeeeeeeeeee
millerson JF-Expert Member Joined Aug 5, 2022 Posts 606 Reaction score 1,651 Nov 5, 2023 #4 Ulisema mkuu
I iyokichiku Member Joined Oct 30, 2023 Posts 36 Reaction score 70 Nov 5, 2023 Thread starter #5 Nawaambieni viongozi wa Simba hawasomi Alama za nyakati, wachezaji Kama kapombe, shabalala, manula hao ni yanga damu pia wamechoka Baleke hakuna kitu
Nawaambieni viongozi wa Simba hawasomi Alama za nyakati, wachezaji Kama kapombe, shabalala, manula hao ni yanga damu pia wamechoka Baleke hakuna kitu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 5, 2023 #6 iyokichiku said: Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha manula. Huyo ni kipenzi Cha yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema kama ingetokea umawekwa wewe golini kwenye mechi ya leo usingefungwa hata goli moja!! Au kama angeanza yule dogo Salim, basi na yeye angetoka na clean sheet kwenye mechi ya leo!!
iyokichiku said: Nawaambieni Simba itafungwa mengi kwa kumuanzisha manula. Huyo ni kipenzi Cha yanga. Pia, mabeki wamelishwa nini Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema kama ingetokea umawekwa wewe golini kwenye mechi ya leo usingefungwa hata goli moja!! Au kama angeanza yule dogo Salim, basi na yeye angetoka na clean sheet kwenye mechi ya leo!!