hahahahaa mkuu naona umelifukua hili kaburi.Ngoja tuone bhana !
Ya kale ni dhahabuhahahahaa mkuu naona umelifukua hili kaburi.
Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa
Goli la pili alilofungwa na yanga lilitosha kabisa kwa timu ya Simba kuanza kusaka kipa mwingine .
Mpigaji apewe sifa na heshima yake. That was unstoppable.Kiwango cha golikipa huyu kiukweli ni cha kutia shaka mno , mimi nilimstukia kitambo kirefu sana na hata baada ya Kocha wa Taifa Stars Ndaiyagile kumbwaga na kumchukua Kikongwe Kaseja sikushangaa