Bora angeendelea kuwa majeruhi akaendelea kucheza Beno, tizama game alizocheza Beno.
Huo ni ukweli japo kuna baadhi ya watu hawapendi kuusikia
Goli la.kwa mdhamiri alipokonywa mpira na.hata baada ya kuponywa mpira alimsindikiza mchezaji wa yanga mpaka.goli linafungwa. Tatizo la Simba ni kucheza na mashabiki, dharau na kutojituma kwa kasi, nimempenda Kanda alivyokuwa anatia presha golini kwa Yanga. Ila manula anabeba lawama za magoli yote kwa kutokuwa mtulivu goliniMkuu lakini kama goli la kwanza niliona kama mzamiru alimsindikiza jamaa hadi akapata nafasi ya kupiga shuti lililozaa goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shati la muda mrefu sanaKakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lakini kama goli la kwanza niliona kama mzamiru alimsindikiza jamaa hadi akapata nafasi ya kupiga shuti lililozaa goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Anabebwa hata huko taifa,leo magoli yote yalikuwa chini ya manula
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamshauri awe anasimama kwenye mstari wa goli muda wote?! Rage akiongea mnalalamika.
Goli la.kwa mdhamiri alipokonywa mpira na.hata baada ya kuponywa mpira alimsindikiza mchezaji wa yanga mpaka.goli linafungwa. Tatizo la Simba ni kucheza na mashabiki, dharau na kutojituma kwa kasi, nimempenda Kanda alivyokuwa anatia presha golini kwa Yanga. Ila manula anabeba lawama za magoli yote kwa kutokuwa mtulivu golini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nakazia tu!Kakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nakupenda bure! Nitahakikisha tunakula pilau siku ya harusi yako
Ndo maana nakupenda bure! Nitahakikisha tunakula pilau siku ya harusi yako
naungana na wewe MANULA APUMZISHWE TUKakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
naungana na wewe MANULA APUMZISHWE TU