miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Poleni sana..sie huku kwetu mtendaji kata kasema atabandika kesho..na nimeskia waloapply ni kama elfu saba,kati ya hao walopata ni mia nne..na walimu wamepewa kipaumbele so kati ya hao mia nne,mia tatu ni walimu..sasa tatizo lipo kwny hao mia wanaobakia.mtoto wa Nani na nni watapata,ndo tunasubiri tuone!
vipi jamani kwani kijichi tayari wameshabandika majina maana hadi jana jioni ilikuwa badohuku kijichi ni janga bora sensa ipotezewe hakuna cha maana kitakachofanyika. Nasema kwetu asionekane mtu nitafungulia mbwa.
vipi jamani kwani kijichi tayari wameshabandika majina maana hadi jana jioni ilikuwa bado