Manunuzi Aliexpress, Nipe ushauri

Manunuzi Aliexpress, Nipe ushauri

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Mwaka jana mwezi 3,2020, nilimnunilia jamaa yangu mmoja simu kwa akaunti yangu ya Aliexpress ila nilitumia Bank Details kufanya malipo.

Toka siku hiyo sijafanya manunuzi tena Aliexpress mpaka Last week ambapo Dada aliniwekea hela kwenye account yangu ya bank ninayoitumia kufanya manunuzi ili nimnunulie simu aliexpress.

Niligiza simu kama kawaida ila nilisahau kubadilisha payment details kumbe zipo za yule jamaa niyemuagizia simu mwaka jana, Nimekuja kushituka leo baada ya kuangalia balance kwenye simu kaenye arakati za kuwalipia watoto ada.

Nilipo angalia bank statement hakuna hela iliyokatwa kufanya malipo aliexpress.

Hivi sasa mzigi upo njiani unakuja.

Swali najiuliza huyu jamaa inamana hakupata sms kuwa kunahela imefanya manunuzi online?

Pili huyu jamaa ni aina ya wale watu ambao sio waelewa sana wa mambo nikimwambia tu atadoubt sana huwenda akazua mambo mengine tukainguankwenye mgogoro

Tatu huyu jamaa ni mtu mwenye fedha huenda aliona sms lakini akamua aipotezee

Naombeni ushauri wenu.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Chukua pesa, weka kwenye akaunti yake, then muombe msamaha faster
 
Mwambie ukweli....mpe maelezo kama uliyo yaandika humu.
 
Back
Top Bottom