Manunuzi Amazon & Ebay. Seller hatumi mzigo kuja Tanzania

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.

Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?

Sellers Amazon au eBay hawaship to TZ. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?

Swali la nyongeza: Bidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay. Why this?
 
Ninachofahamu kuhusu manunuzi ni kwamba seller akisema haagizishi hicho kitu Tz inakuwa ndo Hivyo...

Kama ni kitu common endelea kusearch upate muuzaji anaeship Tanzania.
 
Hilo ndio jibu hakuna nia nyingize ya kutuma mzigo kwenye adress ulioijaza, Tofauti na hapo Kama una mtu ambaye anaishi nchi wanayozaship mzigo mtumie yeye ili akutumie wewe
 
Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.

Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?

Sellers Amazon au eBay hawaship to Tz. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?

Swali la nyongeza: Bidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay. Why this?

Sure amazon wana bei kwasabu ya brand.
 
Jisajili kwenye web ya MYUS.COM ukisha jisajili utapewa virtual US Adress ambayo utaitumia kufanyya manunuzi hivyo seller ataagiza mzigo US, lakini utakapo jisajili utaweka details zako zote za location uliyopo hivyo unapo fanya manunuzi ebay utatumia US Adress utakayo pewa hivyo mzigo utatumwa huko halafu wao watakutumia wewe kwa adress uliyo jisajili kwao ila kuna kuchangia pia.
 
Unaweza kuwa na virtual physical address Marekani ambapo mzigo utapelekwa huko nao watauforward tanzania. Unakuwa na account online ukifika unaona umefika unaamua haya sasa nautuma tz. Yote yanafanyika online ni sawa na sanduku lako la posta tu una licontrol online
 
Mkuu naomba hii idea maana nlishapa hii changamoto nikaenda kwa seller mwingine japokuwa charges zilikuwa kubwa nikaona sio shida sana muhimu mzigo niupate.
 
Jisajili kwenye web ya MYUS.COM ukisha jisajili utapewa virtual US Adress ambayo utaitumia kufanyya manunuzi hivyo seller ataagiza mzigo US, lakini utakapo jisajili utaweka details zako zote za location uliyopo hivyo unapo fanya manunuzi ebay utatumia US Adress utakayo pewa hivyo mzigo utatumwa huko halafu wao watakutumia wewe kwa adress uliyo jisajili kwao ila kuna kuchangia pia.
Gharama zinakua affordable lakin
 
Sio kila seller anatuma mzigo tz ... Check similar products unaweza pata wanaotuma tz..
 
Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?
Hatua ya kwanza: Pata anwani ya nchi husika hapa: ship7.com

Hatua ya pili: Login amazon na ongeza shipping address hapo weka ya UK uliyopata hatua ya kwanza - Hakikisha unaiweka kama default shipping address

Hatua ya Tatu: Endelea na Taratibu za malipo kama kawaida na itakubali.
gharama nafuu?
Hakuna iliyo gharama nafuu, hivyo hakikisha unajipanga kwa gharama ya usafirishaji, Uk to Tanzania kama itakavyo onyesha kwenye site yao.
Bidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay.
Nunua EBAY na tuma kwenye anwani yako ya UK, Then ndipo mzigo utatumwa Tanzania
Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Lazima uwe na anwani ya kupokelea mzigo nchi husika, Hatua ya kwanza hapo juu
 
Yap zinalipika
Gharama zinakua affordable lakin
Hakikisha unajua kwanza gharama ya kusafirishia kabla ya kutumia huduma yao. Hasa kwa items zenye uzito mkubwa.

Waweza nunua kitu kwa US $60, ukaja shangaa gharama ya kusafirishia ni US $240

Hivyo ni vyema ukaangalia kwenye calculator waliyokuwekea kabla, ili uone gharama itakuwaje.
 
Hatua ya kwanza: Pata anwani ya nchi husika hapa: ship7.com

Hatua ya pili: Login amazon na ongeza shipping address hapo weka ya UK uliyopata hatua ya kwanza - Hakikisha unaiweka kama default shipping address

Hatua ya Tatu: Endelea na Taratibu za malipo kama kawaida na itakubali.

Hakuna iliyo gharama nafuu, hivyo hakikisha unajipanga kwa gharama ya usafirishaji, Uk to Tanzania kama itakavyo onyesha kwenye site yao.

Nunua EBAY na tuma kwenye anwani yako ya UK, Then ndipo mzigo utatumwa Tanzania

Lazima uwe na anwani ya kupokelea mzigo nchi husika, Hatua ya kwanza hapo juu

Ahsante kwa info.

Bado sijaelewa hapa: Seller ni yule yule, bidha moja anaiuza at Amazon, bidhaa hiyo hiyo anaiuza at eBay pia. Kule Amazon price ni pungufu kuliko price iliyopo eBay, the same item. Why this?

Why unarecommend ninunue from eBay ilihali kule Amazon ameweka bei pungufu?
 
Nilimaanisha amazon, ambako ni nafuu. Nunua amazon na sio ebay.

Ningekuwa na link husika ningeweza kubaini kwa nini bei iwe tofauti, Hivyo katika hili la bei kutofautiana, No comment
 
Hakikisha unajua kwanza gharama ya kusafirishia kabla ya kutumia huduma yao. Hasa kwa items zenye uzito mkubwa.

Waweza nunua kitu kwa US $60, ukaja shangaa gharama ya kusafirishia ni US $240

Hivyo ni vyema ukaangalia kwenye calculator waliyokuwekea kabla, ili uone gharama itakuwaje.
Sawa mkuu naomba na link za iyo kama sii izo site wanayotoa hii huduma
 
Back
Top Bottom