Hilo ndio jibu hakuna nia nyingize ya kutuma mzigo kwenye adress ulioijaza, Tofauti na hapo Kama una mtu ambaye anaishi nchi wanayozaship mzigo mtumie yeye ili akutumie weweNinachofahamu kuhusu manunuzi ni kwamba seller akisema haagizishi hicho kitu Tz inakuwa ndo Hivyo...
Kama ni kitu common endelea kusearch upate muuzaji anaeship Tanzania.
Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.
Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Sellers Amazon au eBay hawaship to Tz. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?
Swali la nyongeza: Bidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay. Why this?
Jisajili kwenye web ya MYUS.COM ukisha jisajili utapewa virtual US Adress ambayo utaitumia kufanyya manunuzi hivyo seller ataagiza mzigo US, lakini utakapo jisajili utaweka details zako zote za location uliyopo hivyo unapo fanya manunuzi ebay utatumia US Adress utakayo pewa hivyo mzigo utatumwa huko halafu wao watakutumia wewe kwa adress uliyo jisajili kwao ila kuna kuchangia pia.Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.
Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Sellers Amazon au eBay hawaship to Tz. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?
Swali la nyongeza: Bidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay. Why this?
Unaweza kuwa na virtual physical address Marekani ambapo mzigo utapelekwa huko nao watauforward tanzania. Unakuwa na account online ukifika unaona umefika unaamua haya sasa nautuma tz. Yote yanafanyika online ni sawa na sanduku lako la posta tu una licontrol onlineNahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.
Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Sellers Amazon au eBay hawaship to Tz. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?
Swali la nyongeza: Bidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay. Why this?
Mkuu naomba hii idea maana nlishapa hii changamoto nikaenda kwa seller mwingine japokuwa charges zilikuwa kubwa nikaona sio shida sana muhimu mzigo niupate.Unaweza kuwa na virtual physical address Marekani ambapo mzigo utapelekwa huko nao watauforward tanzania. Unakuwa na account online ukifika unaona umefika unaamua haya sasa nautuma tz. Yote yanafanyika online ni sawa na sanduku lako la posta tu una licontrol online
Gharama zinakua affordable lakinJisajili kwenye web ya MYUS.COM ukisha jisajili utapewa virtual US Adress ambayo utaitumia kufanyya manunuzi hivyo seller ataagiza mzigo US, lakini utakapo jisajili utaweka details zako zote za location uliyopo hivyo unapo fanya manunuzi ebay utatumia US Adress utakayo pewa hivyo mzigo utatumwa huko halafu wao watakutumia wewe kwa adress uliyo jisajili kwao ila kuna kuchangia pia.
Yap zinalipikaGharama zinakua affordable lakin
Hatua ya kwanza: Pata anwani ya nchi husika hapa: ship7.comNi kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo wabongo wanaitumia kwa gharama nafuu?
Hakuna iliyo gharama nafuu, hivyo hakikisha unajipanga kwa gharama ya usafirishaji, Uk to Tanzania kama itakavyo onyesha kwenye site yao.gharama nafuu?
Nunua EBAY na tuma kwenye anwani yako ya UK, Then ndipo mzigo utatumwa TanzaniaBidhaa ile ile, seller yule yule, lakini bei ni nafuu at Amazon, bei ni kubwa at eBay.
Lazima uwe na anwani ya kupokelea mzigo nchi husika, Hatua ya kwanza hapo juuWazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Yap zinalipika
Hakikisha unajua kwanza gharama ya kusafirishia kabla ya kutumia huduma yao. Hasa kwa items zenye uzito mkubwa.Gharama zinakua affordable lakin
Hatua ya kwanza: Pata anwani ya nchi husika hapa: ship7.com
Hatua ya pili: Login amazon na ongeza shipping address hapo weka ya UK uliyopata hatua ya kwanza - Hakikisha unaiweka kama default shipping address
Hatua ya Tatu: Endelea na Taratibu za malipo kama kawaida na itakubali.
Hakuna iliyo gharama nafuu, hivyo hakikisha unajipanga kwa gharama ya usafirishaji, Uk to Tanzania kama itakavyo onyesha kwenye site yao.
Nunua EBAY na tuma kwenye anwani yako ya UK, Then ndipo mzigo utatumwa Tanzania
Lazima uwe na anwani ya kupokelea mzigo nchi husika, Hatua ya kwanza hapo juu
Nilimaanisha amazon, ambako ni nafuu. Nunua amazon na sio ebay.Why unarecommend ninunue from eBay ilihali kule Amazon ameweka bei pungufu?
Sawa mkuu naomba na link za iyo kama sii izo site wanayotoa hii hudumaHakikisha unajua kwanza gharama ya kusafirishia kabla ya kutumia huduma yao. Hasa kwa items zenye uzito mkubwa.
Waweza nunua kitu kwa US $60, ukaja shangaa gharama ya kusafirishia ni US $240
Hivyo ni vyema ukaangalia kwenye calculator waliyokuwekea kabla, ili uone gharama itakuwaje.