Manunuzi Amazon & Ebay. Seller hatumi mzigo kuja Tanzania

Thanks mkuu.

Gharama za kuuforward mzigo to US nalipia mimi? au ni free?

UK to US to TZ vs UK to TZ... ipi nafuu?
 

Hiyo virtual box address in US ni ya kulipia?

Gharama za kuuforward mzigo to US kisha to TZ.

Nadhani UK to Tz directly yaweza kuwa nafuu kidogo.
 
virtual box address in US ni ya kulipia?
Bure, Ni swala la wewe kujisajiri kwenye site husika
Mjadala Zaidi hapa: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Gharama za kuuforward mzigo to US kisha to TZ.
Hutokana na
  • Uzito wa mzigo
  • Ukubwa wa mzigo
Mfano
- Toy ya Ted bear yaweza kuwa na uzito mdogo ila ikachukua sehemu kubwa - Utalipa zaidi.
na
- Kifaa cha gari kinaweza kuwa ni kidogo kwa muonekano ila kizito kwa kuwa ni chuma - Utalipa zaidi

Nadhani UK to Tz directly yaweza kuwa nafuu kidogo.
Njia ya posta, Royal Mail, Ndio gharama zake ziko chini zaidi.
 
wanajavi hii kuagiza mzigo nje imekaaaje maana niliagiza bidhaa china tarehe 13 mwezi huu naona mapak sasa bado haujatoka china huwa unakaa siku ngapi mpaka kunifikia
 
Nilimaanisha amazon, ambako ni nafuu. Nunua amazon na sio ebay.

Ningekuwa na link husika ningeweza kubaini kwa nini bei iwe tofauti, Hivyo katika hili la bei kutofautiana, No comment
Mkuu kuna replacement battery ya Laptop nimenunua ipo US naituma vipi Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…