Wasiliana na uliyenunua mzigo kwake anaweza kukuambia muda wa kusubiri ili irudi. Mara nyingi fedha huchukuwa muda kurudi kwenye kadi yako. Huwezi ku cancel na ikarudi muda huo huo.Kwahiyo niwe na subira,,,pesa itasoma?
Ndio ila itapungua kiasi flani. Mfano ulikatwa laki 1 unakuta inarudi 92k.Kwahiyo niwe na subira,,,pesa itasoma?