Mambo ya Kikwete hayo, Ji University lingine, jamani ni mangapi katika miaka yake 6? mangapi Nyerere katika miaka yake zaidi ya 20? mangapi ya Mwinyi? mangapi ya Nkapa?
Kikwete Allah atakulipa kwa kila jema ulifanyalo kwa wananchi wako. Hakuna bora zaidi ya elimu.