Many Worlds Interpretation......

Many Worlds Interpretation......

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam wakuu,
Habari zenu. Katika pita pita zangu, nimekutana na hii kitu kwakweli nimeshindwa kuelewa kabisa. Kuna mambo ya Schrodinger's cat, kwa kifupi inasemekana huu ulimwengu tuliopo kuna maulimwengu mengine (parallel universes) ambapo kuna maisha yanaendelea. Naomba kuwasilisha hapa intelejensia, kwa wenye uelewa zaidi waweze kutufafanulia....
 
Back
Top Bottom