Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanaukumbi,
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Stafu Haule, amesema kuwa taasisi hiyo inachunguza tuhuma nne zinazowahusu wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Kati ya wagombea hao, watatu wanatoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku mmoja akiwa ni mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani