Manyara: Tembo 11 wavamia vijiji

Manyara: Tembo 11 wavamia vijiji

Huyaa Dr

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
312
Reaction score
874
Takriban Tembo 11 wamevamia maeneo mbalimbali katika mji mdogo wa Katesh wilaya ya hanang na kusababisha mauaji ya binadamu na kuharibu mazao mashambani.Idara ya wanyamapori chukueni hatua kabla maafa zaidi hayajatokea.
 
Hii taarifa ni yalini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa kusini Nachingwea, Tunduru, Liwale n.k washazoea kuishi na tembo sasa
Maana washalizwa na tembo mara nyingi. Tembo mpaka mjini wanafika
Huku ndo mara ya kwanza miaka ya karibuni,over 50yrs watu hawawajui Hawa jamaa,wanawapigia milele na miluzi wakavurugika.Polisi wanawachekea raia.
Hii taarifa ni yalini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya leo mkuu Bado wapo mpaka sasa
 
Huku ndo mara ya kwanza miaka ya karibuni,over 50yrs watu hawawajui Hawa jamaa,wanawapigia milele na miluzi wakavurugika.Polisi wanawachekea raia.

Ya leo mkuu Bado wapo mpaka sasa
Subiri wauone moto wa tembo.
 
Back
Top Bottom