Manyara: Waziri mkuu Azindua kituo cha Tanzanite Magufuli. Astaajabishwa na Kazi kubwa iliyofanyika Ukuta wa Mirerani

Hayo majina yawe yanatozwa kodi
 
Serikali hii inazidi kutia nuksi kwenye miradi kwa kuendelea kumtumia mwendazake kama daraja
 
Hakuna majina ya wenyeji?
Yule mzee aliyegundua aina ya hayo madini angepewa hilo jina.

Hata MATONYA ingekuwa good
Duu, nina mashaka na maisha yako, ukisikia pahala pengine pameandikwa jina la huyu mwamba nahisi utajinyonga!😛
 
Sawa kabisa ni wakati sasa mbuga ya Burigi nayo ipewe jina la magufuli kama itapendeza na shule zote ziitwe magufuli
Acha dhihaka kiongozi, kama umpendi wewe sio wote walikuwa wanamchukia kuna mabaya alifanya lakini kuna mazuri mengi sana aliyotufanyia ata wewe huna ukamilifu.
 
Marehemu aliua uchumi na kujitengenezea maadui wengi.

Awamu ya 6, kujishikamanisha sana na Serikali ya awamu ya 5, ni kufanya kosa kubwa la kiufundi na kujiwekea ugumu kuyafikia malengo yake kwa haraka.

Walioondoa vitega uchumi vyao Tanzania, kama wataona mwelekeo unakaribiana sana na ule wa awamu ya 6, hawatavirudisha vitega uchumi vyao, na vipya havitakuja, wala hata hawa wawekezaji wa humu ndani hawatashawishika kujenga kwa haraka.

Mwekezaji anahitaji sana uhakika wa mazingira anayowekeza. Awamu ya 5 ilikuwa hostile kwa investors na business community. Je, awamu ya 6 inafanya nini cha pekee kuonesha ina tofauti kubwa na awamu ya 5?
 
Nawakumbusha tu mpaka sasa Rais Samia hajajipa jina hata mradi mmoja
 
Uzuri kaburi lilishameza hata upake langi vipi tushazika
 
Msiompenda? Wewe na nani? Jina magufuli linaheshimika duniani kote wapuuzi wachache ndo wasiojua umuhumu wa jpm.
Wengine ni akina nani? Hapendwi chato wala kizimu. Ni motoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…