Manyonyo yaliyopo kwenye kifua cha mwanaume yana kazi gani?

Kazi yake ni sawa na manyoya aliyonayo simba dume. That is is power
 
Majibu plz anaomba aeleweshwe nyie mnaleta nanilii mpeni jibu hamjui waachieni wajuzi.
 
Yana kazi kubwa sana mm huwa napenda kuyachezea nikigusa tu nasisimka mwili mzma b4 cjaguswa nishaanza kulowa
wewe ni mwanaume??? maana naona kama swali linahusu yaliyo kwenye kifua cha mwanaume
 
Kwa mm nijuavyo mwanaume akiwa natatizo l ini hali hiyo hutokea....ila kwa huyo anayeonekana kwny hyo pic lbd hormone hazija balance vzr

Rasokauzu ,
Mkuu,
Heshima yako.

Hebu fafanua hapo tatizo la INI na alama hizo za matiti kwenye kifua cha mwanaume, maana huo uchanganuzi wako kidogo unahitaji ufafanuzi mkuu.
 
Ni kwasababu kwenye kipindi urubishwaji wa yai la mwanamke wote huwa sawa na wanawake mpaka baadae Ndio huendelea kuwa na maumbile ya kiume kutokana na Y chromosomes.. Kama Baba hakua na Y ana X tuu basi ndo hupatikana wa kike
 
"Why Men Have Nipples. As embryos in the womb, males and females have similar tissues and body parts. In fact, all embryos start out as female, which is why nipples are present in both sexes. ... These vestigial nipples have no functional use

Moja ya majibu sahihi kabisa ya kisayansi niliyoyaona hapa.

Kwa kifupi ni hivyo, watu wengi hawajui hatua za ukuwaji wa mimba toka siku yai limerutubishwa mpaka mtoto anazalia na hili linachangiwa sana na elimu duni na uwezo mdogo wa kuweza kutumia teknolojia kama mitandao na youtube kujifunza.

Kwa kifupi tu, inasemeka kuwa tofauti ya jinsia kwenye mimba inaanza kuanzia wiki ya 3 toka imetungwa (@https://www.scientificamerican.com/article/differences-between-boys/) na hiyo ndio sababu hata baada ya kuzaliwa bado ni vigumu kugundua jinsia ya mtoto mchanga kwa kumwangalia kwa nje - watoto wachanga wote ni kama jinsia moja. Hivyo basi, kabla ya wiki ya 3 wanaume na wanawake huwa sote tunafanana kimaumbile na ndio maana ukitaka kuona mabaki ya umoja huo ni kwa kuangalia viungo vyetu vya uzazi baada ya kuzaliwa;

Mfano:

- Kwa wanawake OVARIES ndio zinabadilika kuwa TESTICLES kwa wanaume
- Kwa wanawake CLITOLIS ndio inakuwa na mwisho kuwa PENIS kwa wanaume
- Kwa wanawake VAGINA haifungi kuacha birth canal wakati kwa wanaume inafunga na tundu linakwenda kujiunga kwenye njia ya mkojo

Na ndio maana mwisho wa siku tuna baki na 1 opening (Ureter) wakati wanawake ili ku accomodate birth wanakuwa na 2 opening (Ureter na Urethra) ... thats it.

So kwa kifupi, chuchu zinabaki as we are all girls before the 3 week of our conception
 
He he,nijibu kimtazamo;Ni hivi mwanaume kuwa na viziwa ni human nature according to human creation,mfano hata wanyama mbalimbali Kama mbwa dume pia nae anavyo viziwa Kama Kama vya mbwa jike ila ni vidogo,lakini pia mbuzi nae anavyo pembeni ya kengele zake harikasharika kwa punda na wanyama wengne.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…