Manzi wa kibongo

Kuna mwehu aliulizwa Kama Huko barabarani wanakolala hakuna baridi [emoji16] [emoji16]
Mwehu akasema: Asee kule Kuna baridi ile mbaya kiasi kwamba Kama hautakua serious na ukichaa wako, utarudi nyumbani kwenu: [emoji81] [emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji13]

Jamani Mimi sijavuta !!!

sent by OdryDrogen 🙂
 
ASANTE
 
Morogoro Kuna Kijiji kinaitwa SENGE![emoji57]
Raisi alienda pale kijijini kwa ajili ya kampeni za kisiasa za uchaguzi 2010 na hotuba ikaanza..
"Mwenyekiti na katibu WA SENGE
Ndugu wananchi WA SENGE
Vijana, wazee na watoto woote WA SENGE[emoji39]
Mabibi na mabwana WA SENGE,
"WA SENGE wote hamjambooo!!!??[emoji13] [emoji13]

Wananchi: 'haaaaa! Msenge mwenyewe'[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Majina hayajawah kumwacha mtu salama.

sent by OdryDrogen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…