Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Ndoto za mtandaoniSimba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC.
Walikuja wakina Balinya na hakuna kitu alichofanya sisi kama mashabiki wa Yanga hatushtukiSimba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC.
Saafi sana wale jamaa🐸🐸 wa walienda kupiga picha 🤣🤣🤣Simba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC.
Simba wenye akili timamu awajiangaishi na timu ya msimu huu kwakua walisha Sema sana kuhusu mapungufu ya timu Waka puuzwa.
Ni wale mbumbumbu tu wasio fahamu hatma ya timu ya msimu huu ila watu wa mpira walishaona kabla ya msimu auja anza.
Kama ni kweli basi Simba itakuwa tamu sana. Itakuwa tukifunga goli 3 tunaomba radhi kwa ushindi mwembamba
ajabu yani,Dunia nzima mshambuliaji ni Manzoki tu!?,kama dili lake alisomeki watafute mwingine.Huyo manzoki mngeeachana nae tuu kwani lazimaa?.mbona bila yeye tunawafumua tuuu tena goli nyingi nyingii tuu..
Tutakimbiana humuHizi promo anazopewa akija kua kituko sijui itakuaje