Kabisa mkuuajabu yani,Dunia nzima mshambuliaji ni Manzoki tu!?,kama dili lake alisomeki watafute mwingine.
TIMU LA MAKELELE NA KUWADANGANYA MAMBUMBUMBUSimba imemalizana na Cesar Manzoki na sasa striker huyo ambaye alikuwa akililiwa mno na mashabiki kiasi cha kutaka kusababisha taharuki atavaa uzi mwekundu, ataanza kuonekana dimbani kwenye gemu KMC.
Kama mlivyoomba radhi kwenye Ngao ya JamiiKama ni kweli basi Simba itakuwa tamu sana. Itakuwa tukifunga goli 3 tunaomba radhi kwa ushindi mwembamba
TIMU LA MAKELELE NA KUWADANGANYA MAMBUMBUMBU