Maomba ya Bodi ya Mikopo - Elimu ya juu

MWANKEMWA

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
63
Reaction score
7
Za siku nyingi wana JF.Naomba msaada wa kujuzwa tatizo linalonikabili la kukwama katika baadhi ya hatua za kufuata wakati ninapolipia maombi ya Mkopo kwa njia ya M-Pesa.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Za siku nyingi wana JF.Naomba msaada wa kujuzwa tatizo linalonikabili la kukwama katika baadhi ya hatua za kufuata wakati ninapolipia maombi ya Mkopo kwa njia ya M-Pesa.
Natanguliza shukrani zangu.

mkuu fafanua shida yako vizuri upate msaada au nenda kwenye uzi maalum wa bodi utafute humu.
 
Nashukuru kwa ushauri wako kiongozi.Huwa nakwama kuendelea na hatua ya 7 kila ninapofika hatua ya 6 kwa kutumia M-Pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…