Maombi bila Likizo katika utumishi wa umma

smartfocus

Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
62
Reaction score
50
Salam kwenu.
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza, ningependa kupata maoni, ushauri n.k pale inapotokea mtumishi wa umma (Serikali - Tanzania) anapopata kazi katika mashirika ya kimataifa kama UN n.k.
Je unaomba likizo bila malipo tu inatosha au kuna nyongeza?

Nina fahamu baadhi ya rejea chache katika STK na Waraka wa watumishi wa umma June 2016 ila ningependa kupata zaidi kutoka kwenu kuongezea rejea chache ninazozijua japo si kwa undani sana.

Nitanguliza shukrani zangu kwa maoni na uzoefu wenu katika hili.
 
Utakapo maliza hiyo likizo ujitahidi kuripoti kazini usije ukachukuliwa hatua za kinidhamu Mkuu.

Utachukuliwa hatua baada ya kuwa umepuuza taarifa za wakubwa wako katika kazi kukutaka urudi kazini.
 
Mkuu unaweza nipatia nami huo waraka?
 
Mkuu tembelea wavuti ya utumishi ..utauona . Ajira za wataalam katika mashirika ya kimataifa na kikanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…