Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Ndugu zangu wanaJamiiForums habari?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Katika utafiti wangu wa miaka kadhaa hatimaye nimebaini kuwa maombi hayatuepushi na mabalaa yeyote kwenye hii dunia.
Na kuna muda huwa nachelea kuamini ile dhana ya kwamba kila kitu kilishapangwa, japo kwa maono yetu tunaona sisi ndiyo wenye maamuzi kwenye maisha ya kila siku.
Hitimisho ni kuwa yatupasa kujiandaa na hali yoyote nzuri au baya MAANA MAOMBI HAYATATUEPUSHA NA CHOCHOTE
Asanteni kwa kunisikiliza.