Maombi hayatuepushi na mabaya

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
649
Reaction score
975
Ndugu zangu wanaJamiiForums habari?

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Katika utafiti wangu wa miaka kadhaa hatimaye nimebaini kuwa maombi hayatuepushi na mabalaa yeyote kwenye hii dunia.

Na kuna muda huwa nachelea kuamini ile dhana ya kwamba kila kitu kilishapangwa, japo kwa maono yetu tunaona sisi ndiyo wenye maamuzi kwenye maisha ya kila siku.

Hitimisho ni kuwa yatupasa kujiandaa na hali yoyote nzuri au baya MAANA MAOMBI HAYATATUEPUSHA NA CHOCHOTE

Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Nadhani huna ufahamu juu ya nguvu ya maombi
 
Je maombi yanafukuza mashetani?
 
Binafsi maombi yamenisaidia mno katika maisha yangu. Omba kwa kuamini Mungu ataenda kutenda.
 
Kuna fedhuli alipigiwa maombi mpaka yakamkuta mabalaa usidharau maombi japo usitegemee maombi kama silaha pekee ndio maana ilipobidi kuzima kibetri maombi yakawekwa kando kidogošŸ˜€
 

Attachments

  • 20240724_152827.jpg
    17.6 KB · Views: 4
Inategemea imani na maarifa yako ya kuomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…