Maombi juu ya fiesta

Maombi juu ya fiesta

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Mungu baba muumba mbingu na nchi na viumbe vyote,naomba Mungu ushushe mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali maeneo ya viwanja vya Leaders ili utuondolee Laana itakayofanyika mahali pale,Mungu wangu naomba ishara na miujiza ikatendeke!
Kama ww unampenda Mungu toa koment nzur,km umfuas wa shetan toa koment mbaya.
Wote kwa pamoja tuseme Amen!
 
Mmmmmh hata kanisan sa hvi kuna hip hop na sebene nasikia.....
 
Cjajua bhado!bt km zpo si mbaya bora ni za kumsfu Mungu
 
Mungu baba muumba mbingu na nchi na viumbe vyote,naomba Mungu ushushe mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali maeneo ya viwanja vya Leaders ili utuondolee Laana itakayofanyika mahali pale,Mungu wangu naomba ishara na miujiza ikatendeke!
Kama ww unampenda Mungu toa koment nzur,km umfuas wa shetan toa koment mbaya.
Wote kwa pamoja tuseme Amen!

Acha uchawi wew...umelazimishwa kwenda...
 
JD.jpg
 
naona imejikusanya kwenye anga la bongo au mnasemaje mliopo dar ni maombi tu au na ndumba
 
sasa hayo maombi au uchawi!??? kama upendezwi na fiesta mbona kuna vingi vya kufanya!!
 
dua la kuku alimpati mwewe pia dua la masikin alimpat tajiri. mtajiju
 
Teh teh teh teh teh this time dua limempata mwewe,,,tamasha jana limebuma.....jana bila usalama kuimarishwa watu wangegawana spika zile na lights walivokuwa na jazba....
 
Mungu baba muumba mbingu na nchi na viumbe vyote,naomba Mungu ushushe mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali maeneo ya viwanja vya Leaders ili utuondolee Laana itakayofanyika mahali pale,Mungu wangu naomba ishara na miujiza ikatendeke!
Kama ww unampenda Mungu toa koment nzur,km umfuas wa shetan toa koment mbaya.
Wote kwa pamoja tuseme Amen!

dua zako zimesikilizwa bob...
 
Back
Top Bottom