Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI .
Maombi haya Mazito yatavurumishwa kwa siku mbili , Tarehe 7 na 8 za mwezi wa 9/2021
Wote Mnakaribishwa
Maombi haya Mazito yatavurumishwa kwa siku mbili , Tarehe 7 na 8 za mwezi wa 9/2021
Wote Mnakaribishwa