Dransfield
Member
- Jul 14, 2021
- 11
- 4
Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele
Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu.
Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata wakuniamini na kunipa ujuzi huu kutoka sehemu yake ya kazi nitashukur sn
Nina uzoefu kidogo katika vivaa (vipuri) vya pikipiki kwan nimesha wahi kuuza duka la spare za pikipiki
Mimi ni kijana wa miaka 25, machapa kazi, msikivu, muelewa, mvumilivu mwaminifu na mwepesi katika kujifunza niko Arusha. ( kwa maeneo yote ya arusha mjini naweza kufika).
kama kutakua na mawazo maongezi nko tayari kusikiliza, kama nimuusika au unaweza kuni connect pia nitashukuru.
Naomba kuwasilisha na kutanguliza shukurani.
Mungu awabariki sana.