kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
Wasalaamu!
Kwa kuwa wananchi mbalimbali,mashirika ya dini,taasisi zisizo za kiserikali(NGOs),mashirika ya umma na serikali kupitia mawaziri mbalimbali wameonyesha kuikubali dawa isiyothibitishwa ya babu wa loliondo,
kwa dhati kabisa napenda kuomba mfuko wa bima ya afya ugharamie matibabu ya wateja wake wanaoenda kwa babu.
Nashauri huduma kama za usafiri,malazi na sh 500 za babu zichangiwe na mfuko huu.
NHIF haina budi kumuorodhesha babu wa samunge kama mdau mkubwa katika huduma za afya.
Kama tumetengeneza barabara na kupeleka huduma za mawasiliano sioni ugumu wa suala hili kabisa.
Wadau wa babu mnaonaje ?