Maombi Kwa Vodacom Tanzania PLC

Maombi Kwa Vodacom Tanzania PLC

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Habari za Usiku mabibi na Mabwana...

Niende kwenye Hoja.. VODACOM mmetupatia huduma ya M pesa Visa card aisee mmeturahisishia Usumbufu wa Mabenki ya ndani haswa, ulikua ukienda pale CRDB haki ya mama ukitaka kujiunga Online Banking unatazamwa mara mbili mbili, anachukua card yako anakwambia baada ya wiki, Nyambafu zaooo.

Sasa Vodacom, tunaomba basi Card ziweze kupokea pesa, kwa Visa/Master card, mkitufanyia hili aisee mtakua mmetukoa sana.

wako katika Ujenzi wa Nchi ya Ahadi. Tanzania
Vodacom Tanzania
 
Back
Top Bottom