Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
hivi tatizo la ajira tz linatokana na kutokumuomba Mungu?
Dah, yaani hapo ni kama ktk mpira wa miguu, mshindi mmoja tu na mungu ni mmoja tu hivyo kila mtu anaomba ashinde yeye, ila nafikiri tangazo mwisho lilitakiwa liseme MSISAHAU KUJA NA SADAKA ZENU.
Namuomba mtoa mada hii atoe ushuhuda kama yeye alipata ajira kwa njia hii ya kuomba tu.
yaani kaka power ,mm naamini katika haya ,ombeni nanyi mtapewa ,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa
kwa kifupi nilipata kazi miezi mitatu baada ya ku graduate, in one of public parastatal bila kumjua mtu
but i will keep u on my pray today!
can u pray 4 me as well.
likwande, kuja na sadaka ni jambo jema lakini si lazima
Linatokana na kutokumwomba Mungu, tukimwomba tu viwanda vitafunguliwa, mashamba yatakuwa mengi ya kuajiri watu, na sis tutapata akili ya kujiaajiri na uvivu utatutoka, tutakuwa wachapa kazi ile mbaya kama wajapan mpaka tutakuwa tunalazimishwa kupumzika.