Maombi maalum kwa madada wa vyuoni mmezidi kutuaibisha

Maombi maalum kwa madada wa vyuoni mmezidi kutuaibisha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Usiache kuombea madada wa vyuoni Mungu awape nguvu ya kushinda kujirahisisha kwa wanaumeee

Yaan hali sio nzuri ukijutana na madada kwenye basi akitaja chuo ukapata namba weekend ukonae

Najua bumu nk haliwasaidii sana ila mjitahidi kujitynza maana nyie n taifa la kesho

Tusitengeneze taifa la voongozi walio na ukimwi mtatia hasara serikali

Pale mliman city kuna service road kushoto kwenda mwenge

Kuna kabar kanaitwa kwa mama aisee nilikutana na pcs nzuri zinajiuza nikipouliza nkaambiwa za chuo hizo aisee na zinapanda gari zinatendwa zinarudi maisha yanaenda

Anyway wewe mwenye mtoto wa kike hizi tabia acha ujue iposiku mwanao atarithi hayaaàaà
 
Jambo jema umeasa ila uwe unaandika kwa kanuni zake.Ungekuwa unaongea lazima ungezimia kwa kukata pumzi.Pdidy oyeee!
 
Tf is wrong with you? Grown man policing random women pu***ies…
 
Wana tamaa sana wanataka kumiliki vitu ambavyo hawana uwezo navyo.

Hao wa kwabar ya mama hata mchana wapo😊?
 
Back
Top Bottom