KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
MAOMBI MAALUM YA KUVUNJA LAANA(ROHO) YA KUPOTEZA VITU VYA THAMANI VINAVYOINGIA KWENYE MAISHA YAKO...
PIA KUSAMBARATISHA ROHO YA HASARA...
πππππππππ
Naongea na wewe ambaye kila kitu cha thamani kinapoingia kwenye maisha yako au mikononi mwako lazima kitapotea...
π₯Iwe umeanzisha biashara nzuri mwisho wa siku inapotea...
π₯Iwe umejenga nyumba nzuri lazima inapotea hata kwa kudaiwa kisha kuuza...
π₯Iwe ni ndoa nzuri yaani mume au mke mwisho wa siku unampoteza kwa kuachana au kufa kabisa....
π₯Iwe umepata kazi nzuri na yenye mshahara mzuri mwisho wa siku unajikuta umeipoteza kwa kufukuzwa au kujisikia kuacha mwenyewe...
π₯Uwe ni mradi mzuri umeanzisha mwisho wake unapotea kabisa...
π₯Uwe ni muunganiko mzuri na watu wenye faida kwenye maisha yako mwisho wa siku unapotea bila sababu maalum..
Mfano kuna mtu mmoja alipata muunganiko na wazungu na wakamuahidi kusapoti kampuni yake mwisho wa siku wakapotea na kampuni ikafa...
π₯Una mchumba wa maana mwenye kukuonyesha matumaini ya maisha ya mbele mwisho wa siku anapotea na kwenda kuoa mwingine au kuolewa na mwingine....
π₯Una kibali mbele za watu Fulani lakini mwisho wa siku Kibali kinapotea na walewale watu wanaanza kukuchukia au kukukataa...
π₯Una ndoto nzuri ambayo umeona itapeleka maisha yako mbele lakini mwisho wa siku huoni uzito wake tena au mzigo wa kuifanya...
π₯Unajikuta una fedha nyingi na mwisho wa siku zinapotea bila ya kujua umefanyia nini kitu cha maana...
Ukiona unakabiliwa na hali kama hii ujue hiyo ni vita ya roho ya kupoteza..
Mara nyingi watu wenye kusumbuliwa na roho ya kupoteza huota ndoto zifuatazo:
π₯Huota hukimbizwa na wanyama wakali penginepo ng'ombe
π₯Huota anatembea peku au yuko uchi
π₯Huota yuko chooni au makaburini...
π₯Huota ameibiwa kitu kwenye nyumba..
π₯Huota amepoteza simu anatafuta haioni...
π₯Huota anashirikiana na watu waluokufa....
π₯Huota yupo kijijini wakati anaishi mjini...
π₯Kuota anasoma shule ya msingi au sekondari wakati kwa uhalisia akishakwisha maliza...
π₯Kuota unaokota au unapokea pesa....
π₯Kuota umempoteza mtoto unamtafuta na humpati au kumuona..
π₯Kuota anafanya mapenzi na watu anaowajua na asiowajua...
Na nyinginezo....
Lakini pia kuna aina ya watu kila anachoanza kufanya kwa mikono yake lazima kimletee hasara yaani hajawahi kupata faida hata siku Moja
Iwe kwenye biashara,kazi,mradi,huduma na mahali penginepo....
Hii ni roho ya hasara iliyoingia kwenye maisha yako...
Wiki hii madhabahuni nitakuwa nashushulika na kuvunja na kung'oa madhabahu za roho ya kupoteza na hasara zilizong'ang'ania maisha ya watu wa Mungu...
Wewe ambaye unajisikia kujiunganisha na maombi haya popote ulipo
Unaweza kunipigia moja kwa moja au kuniandikia ujumbe kwa whatsaap
+255655288437
Ambapo nitakuunganisha na maombi hayo popote ulipo na utapokea kufunguliwa......
Job 42:10
[10]And the LORD turned the captivity of Job, when he prayed for his friends: also the LORD gave Job twice as much as he had before.
Kisha BWANA akaugeuza uteka wa Ayubu, hapo alipowaombea rafiki zake; BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.
Ninakutamkia Neema ya kurejeshewa maradufu zaidi kwa kila ulichopoteza kwenye maisha yako..
Pia Roho ya faida ikaanze kutawala juu ya maisha yako kuanzia sasa...
Sema amina kubwa na itakuwa hivyo kwa jina kuu la Yesu Kristo...