Maombi maalumu kwa wanaotafuta wenzi wa maisha

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
5,431
Reaction score
4,925
wana jukwaa nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano wa injili uafanyika katika vivanja vya biafra kinondoni,
Kutokana na vijana wengi kupata changa moto ya wenzi wa maisha ,kuna program maalum ya mafundisho ya vijana
jinsi ya kuchagua mwenzi wa maisha ,pamoja na maombi maaluma
ili tuwe na taifa bora ,inaazwa kujengwa kuanzia nyumbani ,wote mnakaribishwa sababu huduma hii ni bure

nawasilisha wapendwa
 
Mmmmmh, matamanio yetu ya kibinadamu yasizidi imani zetu.
Kikubwa, omba kuijua njozi yako.

Mkutano mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…