kichwa kikubwa JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 2,273 Reaction score 1,703 Apr 12, 2014 #1 wanajamvi; naomba kuuliza kama TCU washaruhusu "application za vyuo" ili watu wafanye michakato.
Rucho Member Joined Feb 18, 2014 Posts 32 Reaction score 5 Apr 12, 2014 #2 Kiongozi endelea kubofya mitandaoni usichoke
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Apr 12, 2014 #3 mpaka kidato cha sita wafanye mtihani wa taifa na matokeo yatoke au yakaribie ndio TCU watafungua mlango wa maombi
mpaka kidato cha sita wafanye mtihani wa taifa na matokeo yatoke au yakaribie ndio TCU watafungua mlango wa maombi
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Apr 12, 2014 #4 kichwa kikubwa said: wanajamvi; naomba kuuliza kama TCU washaruhusu "application za vyuo" ili watu wafanye michakato. Click to expand... Kama ni kwa RPL,TCU wameshafungua usajili toka tarehe 8 April mkuu
kichwa kikubwa said: wanajamvi; naomba kuuliza kama TCU washaruhusu "application za vyuo" ili watu wafanye michakato. Click to expand... Kama ni kwa RPL,TCU wameshafungua usajili toka tarehe 8 April mkuu