Ndo utaratibu ninao ufahamu kwani hata mwaka jana nilifanya hivo hivo. Sasa mwaka huu hili suala la kutowaruhusu vijana kurejea nyumbani ndo tatizo bora TCU ingesubiri wamalize mafunzo hayo ya JKT ndo wawafungulie maombi.Kama una namba yake muulize anataka kuchagua kozi gani kisha umfanyie application kwa watu wanaojua. Heri ukikosa mtu wa karibu ulipe 10,000 stationary kwa kila chuo utafanyiwa application. Mkopo ameomba au hana haja nao
Inasumbua, waangalie utaratibu mpya. Hii inatoa nafuu kwa wale ambao hawakwenda JKT kufanya maombi kwa uhuru mkubwa pasi na shaka.Nlisoma mahala walisema watawafanyia utaratibu waombe wakiwa huko. Ila nna hakika hamna mtu atapoteza nafasi kwa jambo hilo mana serikali wanalijua.
Sent using Jamii Forums mobile app