Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuweni wavumilivu kila kitu kipo tayari ndio tupo hapa wizarani katika hatua za mwisho tunasubiri sahii ya katibu mkuu,yupo kikazi kidogo mjini Tokyo,kifupi competition ilikuwa kubwa mno na vijana wengi wa form six wamejitokeza kuomba
kutokana na sababu za ki-intelijensia itakuwa ngumu kukupa,any way kama ni form six leaver katika miaka husika kwenye ngazi ya diploma huwezi kosa......kama ni form four bahati yako ita-determinenaomba contact zako mkuu...
Mkuu ni kweli yapo tayari au ndio kuturusha roho
hawezi kukurusha uyo bwana spleen ni mtu mzito sana apo wizara ya afya.
Vp lakin hakuna yeyote mweny fununu