princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 376
- 781
Yahnimesoma nje project yangu ilikubalika wakani offer phd ya data science ila masilahi yalikuwa madogo tukashindwana kutokana na mazingira ya njeUmesoma nje ya nchi? Ninachojua unaposoma chuo fulani project yako ikibamba hapohapo wanakuchukua ufundishe wanafunzi wa elimu ya chini! Hii niliiona pale DIT kuna mwamba project yake ya land survey ilibamba hapohapo akapata kazi ya kufundisha module ya survey kwa wanafunzi wa civil engineering!
Asante sana