Maombi ya internship kada ya mazingira

Maombi ya internship kada ya mazingira

Elite_man

Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
18
Reaction score
25
Habari...

Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatia mpaka saa hiišŸ™.....

Mimi ni mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA (Sokoine University of Agriculture), with Bsc. Environmental Sciences and Management (recent graduate).

Niko hapa kuomba nafasi ya internship, volunteering ama kazi inayohusiana na career yangu tajwa hapo juu.

Makazi yangu ni Dar-es-salaam.

Naomba kuwasilisha.šŸ™
 
Back
Top Bottom