Maombi ya kaz iya udereva

mukama talemwa

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
160
Reaction score
29
Ninanaomba wana jf yeyote ayejua au anaye hitaji driver niko tayari,nina leseni class A,B, c1, c2, c3,na D na E,nimeendesha magari tofauti tofauti kwa zaidi ya miaka kumi.Muda mrefu nimefanya kazi za mauzo kama salesman,kazi hii nina uzoefu nayo sana, tatizo sina cheti cha kuisomea zaidi ya semina mbalimbali kuhusu mauzo na merchanding, customer service,sefety at work pamoja na course fupi NIT kuhusu defensive driving.Nina record nzuri ya uaminifu na sijawahi kupata ajali tangia nimeanza kendesha magari.
Ninasubiria kutoka kenu wana jf
 
Hebu cheki hii halafu jaribu bahati yako ndugu:


Good luck......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…