Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wakuu nimekuwa nikisikia kwa rafaiki yangu mmoja kuwa yeye baada ya kumaliza masomo yake alianza kuandika barua za maombi ya kazi kwa muda wa miaezi sita na kufikia barua 99 bila hata kuitwa kwenye interview barua ya 100 ndo akaitwa kwenye interview.Je swali ni kwamba kuna format husika ambayo muombaji anatakiwa kuitumia ili kumimmpress mwajiri au inategemeana na kazi husika iliyotangazwa?
Kama kuna muundo maalum ambao waajiri wanaitaka barua iwe mnaweza niasaaidia sample unakuwa ni mtazammo wa mwajiri juu ya huyu mwombaji au ndo wale wajomba wa kuvutana na networking?
Kama kuna muundo maalum ambao waajiri wanaitaka barua iwe mnaweza niasaaidia sample unakuwa ni mtazammo wa mwajiri juu ya huyu mwombaji au ndo wale wajomba wa kuvutana na networking?